DECEMBER 17 huenda ikawa siku mbaya kwa bondia Fransic cheka na Watanzania kwa ujumla pale ambapo Mhindi Vijender Singh alipomdondosha Cheka round ya tatu kwa pigo la knockout.
Kabla ya pambano hilo Cheka alionekana mwenye kujiamini na Bondia vijender alionekana kukaa kimya kana kwamba mtu aliyejua matokeo ua pambano hilo.
@TanzalineLIVE tumekuwekea video hapo chini.

